Haki zako za Uraia


Kuelewa na haki zako za uraia ni mojawapo ya njia za kuwazuia polisi kutokiuka haki zako.Polisi wakijua kwamba unajua haki zako huwa waangalifu zaidi na hujiepusha na kukiuka haki zako wanapotumia madaraka yao.Polisi wanayo haki ya kutumia nguvu wakati suala la kukabiliana na watuhumiwa linapoibuka lakini nguvu hizi ni lazima kutekekelezwa kwa njia ya kuwajibika.Mara nyingi polisi huwajibika katika kazi yao lakini kumekuwa na visa vingi vya polisi kutumi  vibaya mamlaka yao.Polisi hawako juu ya adhabu za kinidhamu wanopokiuka haki za raia.Watu wengi wanapokabiliwa na polisi huwa hawajui haki zao za kiraia.Kwa baadhi ya watu madaraka na nguvu za polisi huwatisha na kuwaogofya hadi kusahau haki zao.Kitabu hiki kinapendekezwa ili kujua na kulinda haki za uraia

SKU: 2030321000369
KES 100
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review