Harufu ya Mauti


“Tulichukua njia ya mkato kuelekea nyumbani. Sikuona dalili zozote kuwa Maria anamtambua Idda,
nami nikajipongeza... “Willy niliiweka roho yangu mikononi mwako nilipoamua kuishi nawe, lakini kwa sababu umeshindwa kuitunza vizuri nimeamua kuirudisha."
Laiti mtu angelijua harufu ya mauti yake basi angeyakimbia kila yanapotaka kumfikia. Lakini kwa kuwa
mwanadamu hatambui kuwa matendo yake na mwelekeo wa maisha ndiyo huwa harufu ya mauti yake, hujikuta amenaswa na mauti bila kutarajia.

ISBN: 9789966363022 SKU: 2010143000571
KES 350 KES 420
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review