Likizo ya mkosi (KLB)

by Matundura


Likizo ya Mkosi ni hadithi inayopatikana katika mfululizo mpya wa hadithi za NASAHA ZETU zinazochapishwa na KLB. 
Hadithi hii ni ya wanafunzi wa darasa la sita.
Likizo huwa na burudani na utulivu mwingi kwa wanafunzi. 
Hii hutokana na hali kuwa hakuna haja ya kurauka, kuelekea darasani wala kazi ya ziada. 
Vilevile huwa wana muda mwingi wa kucheza. Haya huenda ndiyo yaliyokuwa mawazo ya Kombo na Tambo lakini. 
Je, mkosi ulitokeaje?
Miongoni mwa vitabu vingine katika mfululizo huu ni:
• Asiyesikia la Mkuu 
• Usiku wa Manane 
• Kusema Ukweli 
• Sitaki Nife! 
• Msitu wa Uma 
• Matonetone
• Maisha ya Shujaa Heshima 
• Musa na Sara 
. Ndoto za Matumaini 
• Kiswahili Gani 
• Maskini Punda 
• Masaibu Mbugani
 

ISBN: 2010143000877 SKU: 2010143000877
KES 281
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect