Imarisha Lugha: Bintu na Bintutu


Bintu na Bintuntu ni hadithi inayozungumzia jinsi wanakijuwa 
Bintunke walivyosumbuliwa na majitu yaliyoishi kwenye msitu wa Bintudamu 
uliokuwa karibu na kiji hicho, Bwana Bintu anafunga safari hadi kijijini Bantu 
kupata ushauri wa kuyaangamiza majitu hayo. Anapata siri kuu kuwa majitu hupenda uji moto. 
Baada ya kuelezwa, mke wake Bintuntu anatumia ushauri huo na kuyaua majitu yote! 
Familia ya Bintuna Bintuntu inaleta ushindi mkubwa kisini Bintunke. Baada ya hapo usalama usafiri, 
elimu, utalii miongoni mwa mambo meng ya kimaisha yanaimarika.
 

SKU: 2010143000933
KES 290
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review