Kido


Kitabu hiki kinajumuisha hadithi mbili: Kido na Mzee Silu. Kijana Kido anaporithi ufalme wa babake, anatawala kwa dhulma na ulemevu kwa raia wake, hadi ikambidi babake amuondoe na kushikilia tena hatamu za utawala. Kido anateseka na kufunzwa na ulimwengu, ndipo anapokuwa tayari sasa kurejea na kuwa mfalme wa busara. Hadithi ya Mzee Silu inatuelezea jinsi mzee huyo alivyokuwa akiteswa na panya wakorofi, waliokuwa wakitafuna mavuno yake yote. Mambo yaliendelea hivyo, hadi alipogundua siri ya kuwaletea askari wakali. Ndipo alipowaweza' na kuwatia adabu. Hekima aliyoitumia ndiyo iliyokuwa chanzo cha paka kufugwa na binadamu.

KES 215
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
SKU2010143000002

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review