Kiswahili Kitukuzwe Kidato Cha 1


Hili ni toleo jipya Ja Kiswahili kwa Kidato cha Kwanza, Kitabu cha Wanafunzi. Kitabu hiki ni cha kwanza katika mfululizo wa vitabu vinne vya Kiswahili kwa shule za upili.

Kitabu hiki kimefuata mfumo wa elimu wa 8-4-4 na kufanyiwa marudio kulingana na silabasi mpya ya Kiswahili ya 2002 ya Kidato cha Kwanza.

KES 624
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010127000333
ISBN 9789966447791
Publisher KLB
SKU2010127000333

Reviews

Leave a product review
or cancel