Lulu Za Fasihi: Siwa (Moran)


Binti Mfalme ametimiza umri wa kuolewa. Waposaji kutoka pande zote za ulimwengu wamejitokeza kuwania mkono wa Binti Mfalme. Njia ya pekee ya kufaulu ni kutegua vitendawili wanavyotegewa. Waposaji wengi wamebwagwa na vitendawili hivyo isipokuwa Mposaji K na Mposaji J. Hawa wawili wanaandaliwa awamu nyingine ya mitihani yenye changamoto tele. Je, ni mposaji yupi atapita mitihani hiyo na posa yake kuitikiwa?

 

Msomaji haepuki chemshabongo husika. Jinsi ya kutegua vitendawili vilivyomo ndio uhondo hasa wa tamthilia hii.

KES 458
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010129000226
Author Ali Attas
ISBN 9789966631695
Weight (kg) 0.3
SKU2010129000226

Reviews

Leave a product review
or cancel