Made Familiar: Safari hatari Level 8


Azizi na majasusi chipukizi wenzake wamepata ufadhili wa kuzuru na kupiga kambi katika mbuga ya wanyama ya Kito. Huko, wanagundua kuwa kuna njama ya kuwinda vifaru waliohamishwa katika mbuga hiyo. Wanaamua kufanya uchunguzi ili kuwafichua na kuwanasa mgjangili. Je, vijana hawa chipukizi watawezaje kukabiliana na majangili waliojihami? Je, juhudi zao zitazaa matunda?

Kitabu hiki kinalenga kunoa ubunifu, uwazaji kina,ushirikiano pamoja na kujiamini miongoni mwa wasomaji lengwa. Vilevile, kinakuza utunzaji wa wanyama wa porini na mazingira kwa jumla jinsi inavyopendekezwa_ katika masomo kama vile Kiswahili, Agriculture na Social Studies.

KES 375
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000011217
Author Made Familiar
ISBN 9789914997484
SKUBK00000011217

Reviews

Leave a product review
or cancel