Made Familiar: Vitendawili vya Juma na Bintiheri Level 8

by Ali Attas


Juma na Bintiheri, ambao ni binamu, wanafunga safari ya kuzuru) Malindi na maeneo mengine ya pwani. Wanaandamana na wazazi wao. Wanayoshuhudia na kujifunza katika ziara hiyo yanakuza ndoto zao kuhusu utunzaji wa mazingira na kujivunia utamaduni wao chanya. Wangjifunza mengi kuhusu historia ya jamii za pwani na wageni waliowahi kuzuru maeneo hayo miaka na mikaka iliyopita. Jiunge na binamu hawa katika ziara yao ya kusisimua ili ujifunze mengi na kuburudika.

Kitabu hiki kinalenga kunoa ubunifu) miongoni mwa wanafunzi, kuwachochea kushiriki katika utunzaji wa mazingira na kuwafunza kuhusu utamaduni na historia yao. Kwa hivyo, kitabu hiki kitafaa sana katika ufunzaji na ujifunzaji wa mada kama vile Natural and Built Environment, Historical Information na Early Civilization (Social Studies).

ISBN: 9789914997477 SKU: BK00000011214
KES 375
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review