Mashairi Bulbul 7c

by Ahmed hussein Ahmed


Mashairi Bulbul 7c ni kitabu kinacholenga wanafunzi wa Darasa la Saba katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma.Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • mashairi yaliyobeba maudhui anuwai.
  • ubunifu wa mtunzi kutupambia mashairi kwa methali, mafumbo, masimulizi, tashihisi, takriri, tashbihi na taswira ili kutufunza na kupitisha ujumbe wake.
  • mitindo, bahari na aina mbalimbali za mashairi kama vile tathnia, tathlitha, tarbia, takhmisa, ukumi, ngonjera. utenzi, wimbo, ukaraguni, ukawafi, kikwamba na sakarani.
  • uangaziaji wa masuala ibuka kama vile dawa za kulevya, teknolojia, uadilifu, ushauri na nasaha, utatuzi wa matatizo, ubingwa wa lugha, vichekesho na burudani.

Mradi wa Kusoma ni mfululizo wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

ISBN: 9780195736656 SKU: 2010143000597
KES 270
International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review