Miladi na Rangi

by Tarihi


Miladi na Rangi ni kitabu cha hadithi kilichoandikwa kulingana na utaratibu na mwongozo wa silabasi ya mtalaa mpya wa umilisi (CBC). Kitabu hiki kitaweka msingi mkubwa wa ubunifu kwa msomaji wa gredi za awali licha ya kuulea ufasaha wake katika lugha tukufu ya Kiswahili.

ISBN: BK00000008641 SKU: BK00000008641
KES 300
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect