Msururu wa Makumba: Siri ya mwembe

by Hamisi


Babu na sila yake wanatekwa nyara na kuingizwa ndani ya mwembe 
"Kabla Madevu hajasema kitu, babu alibofya sehemu ya gajabu ambayo 
ilimulika video ukutani Wanasayansi wote waka maka kuona mapambano 
baina ya Profesa Madevu na alla ya Makumba ndani ya mwembe. 
Video ikoonyesha kuanzia pale Makumba na wenzake walipotekwa nyara hadi mwembeni hadi 'Hatima yao ni ipi? 
Msururu wa Makumbani novela bunilizi za kisayansi 20 kusisimua ambazo zinatalil sayari mwili wa binadamu, 
ndani ya mimea na hata ndani ya ncha ya kalamu Dkt. Hamisi Babusa ni mhadhiri wa Kiswahili no Taaluma ya ufundisha 
Lugha katika Chuo Kikuu cha Kenyatta. Ni mwandishi ambaye amechangia katika nyuga mbalimbali za uandishi
 bunilizi na za Ibaladeria, Miongoni mwa kazi zake nyingine ni Makumba katika safari ya Mawimbi, 
Mahurba katika safari ya Tonge, Makumba na Majanabina Makumba na Selidamu Nyeupe.
 

ISBN: 9789966115096 SKU: 2010143000941
KES 320
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review