Msururu wa Mbayuwayu: Kipepeo malidadi

by Nzioka


Una namba zao za simu?" daktari akazidi kuniuliza kuhusu wazazi wangu. 
Niliogopa sana kurudi nyumbani. Nilitoka kiharamu, basi ningerudije bila ya kuingia matatani? 
Nikamjibu: "Sina, Hawana simu. Sikusema uwongo. Nilitasua hali halisi...
Shullam Nzioka ni mwandishi anayefahamika kwa umilisi wake wa lugha ya Kiswahili. 
Wengi wamesifu maandishi yake wakimpa mkono wa tahania kwa kazi zake ambazo huwachangamsha 
wasomaji kwa mvuto mkubwa. Miongoni mwa vichapo vyake vingine ni Hamnazo na hadithi nyingine.
 

ISBN: 9789966115126 SKU: 2010143000939
KES 390
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect