Ushindi wa Nakate 5b

by Clara Momanyi


Chanda chema huvikwa pete...methati hii inawiana vyema na maisha ya Nakate ambaye ni mwanafunzi wa shule ya msingi na ambaye ni wa kupigiwa mfano mwema. Licha ya jinsia Take, anawapiku wengi - wavulana kwa wasichana katika masomo na maadili mema. Swali la wengi ni: Kivipi? Anatumia mbinu zipi kuelea katika bahari ambayo ni telezi kwa Kawooya na Mugoya miongoni mwa wanafunzi wengine? Ni muhimu kufanya yote unayodhamiria kuyafanya kadri ya uwezo wako bora tu yawe mama na yenye manufaa. Dhana hii inampelekea Nakate kupata tuzo ambayo ilikuwa tamanio kubwa kwa wanafunzi wenzake. Je, ilikuwa ruzo gani? Clara Momanyi ni mwandishi na mtunzi wa hadithi za Kiswabili zenye mnato, za kuvuta fikra na kuwavutia wote wenye kuchangamkia usawa, haki na mazingira mema ya maisha, utu na maadili.

ISBN: 996636214-2 SKU: 2010143000805
KES 394
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect