Musa na Bahati Nasibu


Musa na King Kong wanakumbwa na uhitaji mkubwa wa pesa. Ili kukidhi haja hii, wanaibuka na wazo la kuandaa mchezo wa bahati nasibu. 
Musa analazimika kutafuta zawadi ya kushindaniwa katika shule yao, Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen
Ingawa wanafanikiwa kupata zawadi - gari kutoka kwa Nick Molo - mchezo wao unakumbwa na mashaka. 
Kwanza, mwalimu mkuu, Mzee Mukibi, anawapokonya tiketi za mchezo. Kisha, inabainika kuwa gari lenyewe ni la kuibwa. 
Pesa wanazozipata nazo zinaishia mikononi mwa hasimu wao ...
Musa na Bahati Nasibu ni kitabu cha kumi katika msururu wa Visa na Vituko vya Musa, vilivyoandikwa na Barbara Kimenye
 

ISBN: 9780195739701 SKU: 2010143000755
KES 400 KES 534
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect