Ng'ombe aliyemwokoa Mchungaji


"... Lazima tutafute njia ya kukomesha hii tabia. Tusipochukua hatua, Atolwa atachukua baraka na mali ya watoto wetu... Mzee Okutoyi hana maisha marefu. Sote tunajua anaugua. Ni heri tufanye mipango yetu kabla ugonjwa haujamzidia,"Ma Mkubwa alisema ...
Je, Ma Mkubwa na wake wenza walifanikiwa katika njama yao? Soma upate kujua zaidi.
Hadithi za Adili zimekusudiwa kuburudisha na kuelekeza. Katabu hiki kimependekezwa kwa madarasa ya juu katika shule ya msingi.

ISBN: 9966225951 SKU: 2010127000448
KES 150 KES 348
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect