Visa na Vituko Kijana Mwaminifu 4f

by Pamela Ngugi


Kila adinasi hujinaki kwa kuzaliwa kwake. Kuna ambao walizaliwa juzi, jana na hata leo. Kesho pia ni siku. Maisha ya leo si ya kesho na ya leo si ya jana. Maisha ya binadamu hukumbwa na matukio mbalimbali. Haya yote hupangwa na Karima.

Binadamu Haumbiki Hadi Kufa ni kitabu kinachodhamiriwa kuwapa waja moyo na matumaini ya kuogelea katika kidimbwi chenye dhiki maishani. Hadithi za Adili zimekusudiwa kuburudisha na kuelekeza. Kitabu hiki kimependekezwa kwa madarasa ya juu katika shule za msingi.

ISBN: 9789966227010 SKU: 2010143000614
KES 209
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect