Nyuso za Mwanamke


Nyuso..” imechukua muda mrefu sana kumshika msomaji kuliko vile visa vya mwanzo.Hadi ukurasa wa 44 ndipo kisa kinapoanza kujitokeza kwamba chamhusu mtu na mzazi wake. Mwandishi ana uhuru wa kuchagua mtindo wa kuelezea riwaya yake. Je kwanini ukachagua mtindo huu wa mafumbo mafumbo na kuchelewesha habari na maudhui? Je kadri mwandishi unavyoendelea kukomaa unashawishika kufanya majaribio ya ki fani? Na je, umepata “matokeo” au mrejesho nyuma gani kutoka kwa wasomaji wako kuhusiana na kisa hiki?

KES 696
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
SKU2010129000091

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review