Panda Ngazi: Kamba ya Karo

by Omusikoyo


Panda Ngazi ni mfululizo wa vitabu vya kusoma vilivyoandikwa ili kutosheleza mahitaji ya wasomaji walio na uwezo wa kusoma unaotofautiana. Vitabu hivi havizingatii gredi ila kiwango cha uwezo wa kusoma. Vimepangwa kutoka vitabu rahisi vya kusomwa na watoto wanaoanza kusoma hadi vile vyenye ugumu kiasi vya kusomwa_ na watoto wenye uwezo ulioimarika wa kusoma.

Mfutulizo huu una viwango kama vile mwimbuko, mwanzo, mpito na kati.

ISBN: 9789966631138 SKU: 2010143001066
KES 226
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect