Pole Punda

by Phoenix


Je, umewahi kumwona mtu akimpiga busu mbwa, paka na wanyama wengine? Je, punda naye akitaka kumpiga busu tajiri wake, tajiri atastahimili vipi nguvu na uvundo kutoka kinywa cha punda? Hali hiyo inatufanya tukumbuke msemo wa Waswahili kuwa ‘kula kulingana na urefu wa kamba yako’.Yarabi! Punda kumbusu mtu! Karibu kwa uhondo wa punda kumbusu tajiri wake.

ISBN: 9789966478740 SKU: BK00000008558
KES 222
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect