Queen of keepy Mkali wa Dana (Queenex)


Kiduchu anaonyesha kuwa wasichana wanaweza kucheza mpira wa miguu kama wanavyoweza kucheza wavulana. Lakini wakati mpira ulipodondokea nyumbani kwa Mzee
 Kigo, ikabidi kiduchu afanye hesabu za hasi na chanya ili aweze kupata mpira.
Ubongo Kids books help children to learn and love mathematics and science
through entertaining stories and fun comprehension activities.
Vitabu vya Ubongo Kids vinawasaidia watoto kujifunza na kupenda hisabati na sayansi kwa kupitia hadithi 
zinazofurahisha na mazoezi ya ufahamu.
 

ISBN: 9789987083084 SKU: 2010101002695
KES 250
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review