Shani katika njia panda

by Story Moja


Shani anakumbwa na furaha ya kupindukia rafiki yake, Jaki, anapomchagua kuandamana naye hadi Afrika Kusini. 
Mjomba wa Jaki anajitolea kugharamia ziara hiyo. Hata hivyo, mamake Shani anashuku nia ya Mjomba kumpeleka mwanawe 
Afrika Kusini. Mama anajaribu kumshawishi Shani kupuuza pendekezo hilo kwa kumwekea vikwazo. Shani aliye na hamu kuu 
kwenda ughaibuni anakwea vikwazo vyote hadi mzazi wake anamkubalia kwenda Afrika Kusini. Mbona Mama Shani anashuku 
ukarimu wa Mjomba? Soma hadithi ufumbue fumbo.

ISBN: 9789966066800 SKU: 2010143000988
KES 580
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review