Spotlight Kurunzi ya Kiswahili Gredi 2


Toleo hili Jipya la Kurunzi ya Kiswahili Kitabu cha Mwanafunzi Gredi ya 2 limeandaliwa kwa upekee zaidi ili kumwezesha mwanafunzi kumudu na kujifunza stadi nne za mtaala mpya wa Kiswahili, zikiwemo: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Kuandika na Sarufi.

Kitabu hiki kimejumuisha vipengele vipya vya kuandika na kusoma ambavyo havikuwepo awali. Mbali na kuzingatia mtaala mpya wa Kiswahili uliofanyiwa marekebisho, 2022, kimeandikwa kwa njia sahili na yenye mvuto.

KES 597
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPCBK00000008712
Author Spotlight
ISBN 9789966573728
Publisher Spotlight
Weight (kg) 0.5
SKUBK00000008712

Reviews

Leave a product review
or cancel