Upande Mwingine

by Ken Walibora


Hivi ndivyo Kimako alivyojipata katika njia panda baada ya miaka hamsini; aukabili ulimwengu wa utoto wake uliogeuka au arudi uhamishoni kusikomweka? Upande Mwingine ni hadithi iligoandikwa kwa lugha ya aina yake. Akiwa amejumuisha vipengee vingi vya mwanadamu katika mwavuli mpana wa mabadiliko, mwandishi amethibitisha tena pahali pake katika safu ya waandishi bora wa Kiswahili.

ISBN: 9780195735574 SKU: 2010143000560
KES 423
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect