Ahsante ya Punda 6d

by Walibora


Ahsante ya Punda 6d ni kitabu ktnacholenga wanafunzi wa Darasa to Sita katika shule za msingi ili kuendeleza na kukuza uwezo wao wa kusoma. Miongoni mwa sifa za kipekee za kitabu hiki ni:

  • masimulizi rahisi ya hadithi kwa njia ya tamthlia na mbinu rejeshi.
  • kuingiza ucheshi katika maandishi kupitia dayolojia, misemo, methali, taharuki, kejeli, chuku, utani, wimbo, vichekesho, majina ya majazi na picha za rangi zenye kusisimua.
  •  kuwapitisha na kuwalea wanafunzi katika mazingira ya maisha ya nyumbani na kijijiini na matatizo yoke, ujirani, mahakamani na mambo ya kisheria, stadi za maisha, uwajibikaji, kazi, utu, uaminifu, uadilifu, ushirikiano, haki za binadamu, kuishi kwa utangamano na amani.

Mradi wa Kusoma ni mfulutizo wa vitabu vya ziada ambao unaambatana na kozi a Kiswahiti Sanifu.

ISBN: 9780195734553 SKU: 2010143000413
KES 313
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect