Daudi Mlemavu


Vitabu vya Nyota vimetungwa makusudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, toka lugha, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa.Watoto watayafurahia haya yote. Daudi Mlemavu ni mkusanyiko wa hadithi tatu zenye mafunzo kemkem. Wanafunzi wa Darasa la Tatu hadi la Tano watajifunza mengi katika hadithi hizi za kusisimua.   

ISBN: 9789966250353 SKU: 2010143000195
KES 261
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect