EAEP Akili Pevu Kiswahili Gredi Ya 8

by EAEP


Akili Pevu Kiswahili Gredi 8 kilichoandikwa kwa upeo wa ubunifu na kuwambwa kwa makini. Kimetimiza kwa ukomo wa ukamilifu na kutosheleza mahitaji yote ya Mtaala wa Kiumilisi, yaani, Competency-Based Curriculum. Kitabu hiki kimeandikwa kwa mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi na kinakuza umilisi unaotolewa na mtaala.

ISBN: 9789966567765 SKU: BK00000010820
KES 928
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect