Moran Stadi za Kiswahili Grade 8 (Approved)

by Moran


Stadi za Kiswahili ni mfululizo wa vitabu vya kiada vya Kiswahili vilivyoandaliwa kwa kufuata Mtaala wa Kiumilisi. Kitabu hiki kina sifa kuu zifuatazo:

-Kimeandikwa kwa Kiswahili cha kiwango cha mwanafunzi wa Gredi ya 8

-Maswali dadisi yametumiwa kumfikirisha mwanafunzi

-Kimejumuisha shughuli za mwanafunzi binafsi, shughuli za wanafunzi wawiliwawili na za makundi - :

-Kimejumuisha mada na mada ndogo zote

-Yaliyomo yamepangwa kulingana na mpangilio wa Kiswahili Gredi ya 8

-Yaliyomo yamewasilishwa kwa ubunifu wa kiwango cha juu

-Kimeshughulikia matokeo maalum yanayotarajiwa katika Gredi ya 8

-Kimejumuisha umilisi wa kimsingi kwa mujibu wa Mtaala wa Kiumilisi

-Kimeshughulikia masuala mtambuko yote

-Yaliyomo yanakuza maadili yanayopendekezwa katika Mtaala wa Kiumilisi

-Shughuli za ujifunzaji zinakuza stadi za Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma na Kuandika.

ISBN: 9789966635525 SKU: BK00000010932
KES 835
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect