EAEP: Masaibu ya Bintu: Intermediate J

by Yahya Mutuku


Hii ni hadithi ya kiwango (levelled reader). Hadithi hii inazingatia viwango tofauti vya usomaji. Hadithi hizi za viwango ndizo hadithi za kisasa. Hadithi hii imeandikwa ili kukidhi mahitaji ya wanafunzi wenye uwezo mbalimbali wa kusoma bila kujali madarasa yao au gredi zao.
Hadithi ya Masaibu ya Bintu inanasa akili na hisia za msomaji na kuzipeleka katika safari ya mhusika mkuu, Bintu. Kisa hiki kinawaonya wanafunzi dhidi ya kuzungumza na kufuata watu wasiowajua kama alivyofanya Bintu akaishia kutekwa nyara. Vilevile, wanafunzi wanahimizwa kupiga ripoti kwenye kituo cha polisi kisa kama hiki kinapotukia.

ISBN: 9789966563569 SKU: 2010143001001
KES 196
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review