Hidaya (EAEP)

by Juma Namlola Mohamed


“Binti yangu amepata malezi mema zaidi. Ni mmoja kati ya watoto waliofundishwa nidhamu. Umri wake pia ni mdogo na anajiona kwamba hajatimia. Vilevile, sisi tuna maarifa yetu, ukitaka kumshika kuku unammwagia punje mojamoja. Naamini
ukiwa na subira kidogo, utafaidi tamu ...”  Je, subira ya Bwanapesa itamfaidi?

Juma Namlola ni mhariri wa habari katika shirika la Nation Media Group akiwa na ujuzi wa miaka 23 kama mwanahabari.
Amewahi kuwa mhariri wa habari, Radio Salaam na mwendesha kipindi cha Msasa wa Lugha katika runinga ya QTV. Mbali na
Hidaya, riwaya zake nyingine ni Kinamasi Jangwani na Kula Kwa Mheshimiwa. Pia, ni mshairi wa miaka mingi, mwandishi na
mwelekezaji wa michezo ya kuigiza.

ISBN: 9789966567253 SKU: BK00000004489
KES 500
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review