Kaka Mzalendo na Genge la majambazi


Vitabu vya Sayari vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. 
Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha.
Kaka mzalendo ni kijana jasiri. Anasikia majambazi wakipanga njama ya kuvamia kijiji chao. Anawahimiza wanakijiji 
kupambana na genge hilo. Kisa kinachofuata ni cha kusisimua. Wanakijiji wanahatarisha maisha yao ili kuumaliza wizi katika kijiji chao. 
Wezi nao wanaamua kuendelea kuwashambulia wanakijiji kwa ukatili zaidi. Je wezi hao watakomeshwa?
 

KES 150 KES 222
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPC2010143000478
ISBN 2010143000478
SKU2010143000478

Reviews

Leave a product review
or cancel