KCSE Homestretch Udurusu na Mitihani ya Kiswahili

by One Planet


KCSE Homestretch ni msururu wa vitabu vya marudio vinavyolenga kuboresha matokeo ya wanafunzi katika mtihani wa kitaifa wa KCSE.KCSE Homestretch: Udurusu na Mitihani ya Kiswahili kimeandikwa na waandishi wenye tajiriba pana katika ufundishaji na utahini wa Kiswahili katika kiwango cha kitaifa. Kitabu hiki kinampa mwanafunzi mbinu na maarifa anayohitaji katika mkondo wa mwisho wa marudio, kabla ya kuukabili mtihani.

ISBN: 9789966068125 SKU: 2010127000681
KES 667
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect