Kielekezi cha Shughuli za Kiswahili Gredi 3 Kitabu cha Mwanafunzi

by Mentor


KIELEKEZI cha Shughuli za Kiswahili Gredi 3 kimewasilisha kikamilifu mahitaji ya mtaata mpya unaozingatia umilisi. 

Kitabu hiki kimetumia mtindo unaomwegemea mwanafunzi zaidi. 

Kimetumia lugha nyepesi iliyokomaa na inayoweza kueteweka na mwanafunzi kwa urahisi. 

 

ISBN: 9789966059802 SKU: 2010127000758
KES 530
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect