Kisa cha Paka Kupenda Jikoni


Paukwa Pakawa ni mfululizo wa visa, mikasa na ngano zilizotungwa ili kuwapa watoto wanaochipuka katika mafunzo, chanzo chema. 
Lugha imerahisishwa na matukio yamepewa msisimuko utakaowafurahisha watoto wote wa nasari, pri-uniti hadi darasa la pili, 
huku wakijimudu katika kuifahamu lugha ya Kiswahili.
Kisa cha Paka Kupenda Jikoni ni hadithi inayoeleza jinsi Paka alivyoacha kuishi na wanyama wenzake msituni na kuanza kuishi na binadamu. Ni hadithi ya kusisimua na itawaburudisha watoto wote watakaoisoma.

ISBN: 996646745 SKU: 2010143000213
KES 150 KES 183
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review