KLB Top Scholar Kiswahili Mwalimu Grade 8 (Approved)

by KLB


KLB TopScholar Kiswahili Gredi ya Nane (Mwongozo wa Mwalimu) umechapishwa kwa kuzingatia Mtaala wa Kiumilisi wa Masomo ya Shule za Upili Daraja ta Awali Gredi ya Nane kutoka Taasisi ya Ukuzaji Mitaala Nchini Kenya (KICD). Mwongozo huu umechapishwa kwa kusudi la kuendelea kuimarisha uwezo wa mwalimu kuelekeza ujifunzaji na kufunza lugha ya Kiswahili kupitia Sarufi na stadi za lugha; Kusikiliza, Kuzungumza, Kusoma na Kuandika. Mwalimu pia ameelekezwa hatua kwa
hatua jinsi ya kushughulikia baadhi ya vipengele vya somo la fasihi kwa mwanafunzi wa Gredi ya Nane.

ISBN: BK00000010854 SKU: BK00000010854
KES 673
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect