Kuku aliyegeuka kuwa kanga


Dunia haiishi mambo. Je, umewahi kujiuliza kanga anauhusiano upi na kuku? Vilevile, umewahi kufungua kizimbacha kuku halafu jogoo akapaa dirishani na kuwika? Visahivi vyote, kulingana na Fortunatus Kawegere, vinauhusiano: eti kuku na kanga huwa wanatafutana. Somamwenyewe upate ukweli wake na ufaidi kwa maadili.Fortunatus Kawegere ni mwandishi mwenye kipawa chausimulizi. Anatazama mambo kwa jicho pevu nakuyadhihirisha kisanaa. Mbali na hadithi Kuku aliyegeukakuwa Kanga, ameandika Uongo Uliozaa Jitu

KES 260
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author Kawegere
ISBN 9789966478535
SKU2010143000837

Reviews

Leave a product review
or cancel

Products you recently viewed