Kula kwa Mheshimiwa


"Umesahau kuwa huu ndio muda wa kula kwa mheshimiwa? Kwani unadhani tukiwapa kura zetu watatufaa kivipi kwa miaka mitano ijayo? Wewe chukulia kuwa ni hongo au jina lolote, naamini kila anayetaka mazuri hana hudi kugharamika," Shamsa akaeleza Mdachi. Kula Kwa Mheshimiwa ni riwaya inayoangazia hali halisi ya siasa na kampeni na jinsi zinavyotumiwa kuendeleza umasikini miongoni mwa Wapiga kura. Kuna mwanasiasa mkongwe anayeamini kwamba eneo bunge ni lake na wengine hawana haki ya kujipeleka kUtaka wachaguliwe - hasa wakiwa ni wanawake - kwani kulingana na yeye mahali pao ni jikoni. Ni riwaya itakayokuteka! 

KES 594
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
UPC2010129000159
Author Juma Namlola
ISBN 9789966229519
SKU2010129000159

Reviews

Leave a product review
or cancel