Adhabu ya Joka

by Bitugi Matundura


Furaha ya kila mwanandoa huwa ni kupata mtoto ...Kibuka na Kalimuzo wanaishi kwa miaka kumi na miwili bila kujaaliwa kupata mtoto. Maadamu Mungu si Athumani, hatimaye wanajaaliwa kupata mtoto wa kiume wanayemwita Ziro. Je, mtoto huyu alikuwa chanzo cha furaha au huzuni kwa wazazi wake? Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ni methali yenye mashiko makuu katika maisha ya Ziro. Analelewa katika mazingira ya kuenpekezwa sana na wazazi wake kiasi cha kumfanya kuishia kuwa samaki ambaye hakukunjwa angali mbichi. Je, Ziro anabadilika hatimaye? Hii ni hadithi ya kuwaonya vijana dhidi ya uhalifu kama vile wizi kwani Ziro anapata adhabu ya joka anapoiba sanduku lililodhaniwa kuwa na pesa nyingi sana.

ISBN: 9789966362131 SKU: 2010143000778
KES 405
International delivery
Free delivery on orders over KSh 0
Free click & collect

Reviews

This product does not have any reviews yet.

Add your review