Kwa nini Fisi Hucheka


Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. 
Kuna mengi ya kujifunza, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote.
Kwa nini fisi Hucheka ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kusisimua zilizonuiwa kusomwa na watoto wa darasa la tatu, la nne na la tano.
 

KES 200 KES 294
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect
UPC2010143000152
ISBN 9966464158
SKU2010143000152

Reviews

Leave a product review
or cancel