Longhorn: Sudi na Shada Watuzwa Grade 3

by Nyambeka


Sudi na Shada ni wanafunzi wa gredi ya tatu. Wakati wa sherehe shuleni kwao, wazazi wote wanavutiwa na mienendo yao. Mgeni wa heshima anawatambua na kuwatuza. Je, Sudi na Shada wamefanya nini kiasi cha kutuzwa hivi?

Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.

ISBN: 9789966642134 SKU: 2010143001092
KES 234
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect