Longhorn: Sudi na Shada Sokoni Grade 3
by Nyambeka
Masomo ya ljumaa yanapokamilika katika shule ya msingi ya Mwangaza, mwalimu anawapa Sudi, Shada na wanafunzi wenzao wa gredi ya tatu kazi ya ziada. Mwalimu anawaagiza kuwa wakati wa wikendi waende sokoni ili kufanya kazi hiyo. Je, Sudi na Shada wanapoenda sokoni wanapata yepi huko?
Hadithi Mufti za Longhorn ni mfululizo mpya wa hadithi ambazo zimeandikwa kulingana na mtaala mpya. Hizi hadithi zinalenga kukuza ujuzi wa wanafunzi kupitia kwa uvumbuzi wa maarifa na zinaimarisha uelewa wao wa masuala ibuka katika jamii. Hadithi hizi sio tu za kuelimisha na kuburudisha, bali pia zimeambatanishwa na mazoezi ambayo yatawasaidia wanafunzi kuimarika kiubunifu, kimawazo na kifikra.
Out of stock
KES 234

International delivery
Free delivery on orders over KSh 2,000
Free click & collect