Macheo


Nilijinyanyua polepole kutoka sakafuni huku nikilia kwa kwikwi. Nilijipangusa kwa utaratibu.Kaptura yangu isingetakata kwani ilikuwa ya rangi iliyong'aa kama mbalamwezi.Nilipopita kwenda kuketi,nilimwona Safari akiniangalia kwenye makalio.Aliangua kicheko cha kuogofya kilicholitetemesha darasa zima.Wanafunzi nao wakaanza kucheka. Kaptura yangu ilijaa vumbi kwelikweli .Nilisonya tu na kujipweteka kitini huku nikikiangalia kitabu changu cha Hisabati

KES 230
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author Zuhura Asman
ISBN 2010143000770
SKU2010143000770

Reviews

Leave a product review
or cancel