Safari ya Maskauti 5d

by Enock Matundura


Kaendi na nduguye, Mkangi. wanazidivva na msisimko wa safari yao ya kwenda mjini Mombasa, kiasi cha kushindwa na kula chakula. Ziara hii ni ya maskauti wa Shule ya Msingi ya Bidii. Safari yao ya treni inajaa visa na vituko vya kufurahisha. Mkangi na rafikiye, Suleiman, vvanapewa jukumu la kuilinda kambi huku wenzao wakiwa wamelala. Mnyama anayeonekana kama simba anatokea na kumshitua Suleiman ... ni yapi yatajiri baada ya haya?Safari ya Maskauti ni mojawapo ya hadithi katika Mradi wa Kusoma. Huu ni mradi wa vitabu vya ziada unaoambatana na kozi ya Kiswahili Sanifu.

ISBN: 9780195738278 SKU: 2010143000721
KES 296
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect