Majuto ya Mzee Kikwazo


Vitabu vya Sayari vimetungwa kwa lengo la kuwawezesha wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili. 
Lugha iliyotumiwa ni ya kuvutia na hadithi ni za kuburudisha.
Kijiji cha Wasiojua kinajipata katika masikitiko. Watu wameanza kupofuka. Wataalamu wanashauri hatua fulani 
zichukuliwe ji kumaliza janga hili. Wanakijiji wanaanza kuzingatia mapendekezo ya wataalamu. Hata hivyo, 
kuna mzee anayekataa katakata kuufuata ushauri wa wataalamu. Je, Mzee Kikwazo ataweza kujinusuru kutokana na shida 
zilizoko kijijini mwao? Bila shaka hadithi hii itakufunza mengi.

ISBN: 9789966254979 SKU: 2010143000432
KES 200 KES 268
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect