Customer reviews

Makovu ya Uhai

Average rating: 5

from 2 reviews

5 2 five star reviews
4 0 four star reviews
3 0 three star reviews
2 0 two star reviews
1 0 one star reviews
Add your review

Shisia reviewed on 28 Apr 2021

Makovu Ya Uhai

Misururu ya masaibu yanayomwandama Daudi Marefu ni tele. Anapoibuka kwa hili anazamishwa kwa lile. Ndoa yake inatibuka. Anapigwa kalamu. Anapodhani kuwa nyota ya jaha imemwangazia, mwanawe wa pekee anafariki dunia. Haya ni masuala mazito kumkabili mtu mmoja kwa mkupuo. Kwanini mwanadamu hupitia mitihani maishani? Kwanini ndoa zinavunjika ndivyo sivyo? Mwandishi anajaribu kuyajibu masuala yale kupitia matukio aliyoyasuka kwa umbuji kwenye kazi hii; Makovu ya Uhai