Mazingira Maridadi

by Zawadi


Mazingira Maridadi ni hadithi inayozindua msururu 'Mazingira na Afya unaoangazia na kusisitiza 
kutunza mazingira na kudumisha usafi. Lengo hili limetimizwa kupitia majadiliano yo mara kwa mara 
pamoja na safari inayofungwa na akina Baraka. Athari za uchafu katika maeneo tunamoishi zimewekwa 
wazi kupitia majadiliano baina ya wahusika, Shangazi anadokeza suluhisho mwafaka kupitia juhudi za kuelimisha 
wenzake mtooni.
Rebecca Zawadi ni mwandishi mwenye tajriba pona katika uandishi wa vitabu vya fasihi ya watoto. 
Amepata tuzo nyingi kutokana na uandishi woke undokuza moodili katika jamii.
 

ISBN: 9789966788894 SKU: 2010127000543
KES 190
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 3,000
Free click & collect