Michezo Yetu

by Moran


Sule ni mwanafunzi wa Darasa la PiLi. Yeye anapenda masomo. Sule pia anapenda kucheza. Sule na marafiki wake wanacheza pamoja. Wao wanacheza michezo mbalimbali. Sule na marafiki wanacheza wakiwa shuleni na hata nyumbani. Je, ni michezo ipi ambayo Sule na marafiki wake wanacheza?

ISBN: 9789966342303 SKU: 2010143000291
KES 232
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect