Msururu wa Fataki: Tunda la msimu


Amekuwa huko siku tatu kalazwa lakini hakuna matibabu. Eti kaunti haijatuma dawa. Nampeleka kwa mganga wa kienyeji ashughulikiwe huko..."
Tunda la Msimu ni tamthilia inayoangazia uongozi wa Liwali uliojaa ahadi chungu nzima bila utenda-kazi. Liwali anawapa ajira watu wa kutoka eneo moja na kuwatenga wengine. Analolifanya Liwali ni kuwahadaa wananchi kuwa atawafanyia hili, hilo na lile, lakini anafeli kufanya hata lililo dogo. Mabilioni ya pesa yanatumiwa visivyo kwa miradi hewa. Hadi lini haya yakifanyika? Mwisho wake waweza kuwa ama leo au kesho.

ISBN: 9789966068323 SKU: 2010143000956
KES 429
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect