MTP Kusoma na Kuandika Kiswahili GD1


Baada ya kukitumia hiki kitabu, mwanafunzi ataweza;
Kutumia mbinu zifaazo za usikivu katika mawasiliano katika mazingira yake.
Kudhihirisha ufasaha wa kuzungumza kwa Kiswahili.
Kusoma kwa ufasaha na kufahamu aina zozote za maandishi ya Kiswahili.
Kuelezea mawazo, hisia na tajiriba kwa maandishi ya mkono au mbinu nyingine yoyote ya uwasilishaji.
Kuonyesha ukakamavu katika kuwasilisha masuala yanayomkabili na yanayokabili mazingira yake.

ISBN: 1970197321327 SKU: 2010127000817
KES 406
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect