Musa kwenye Harakati


Wanafunzi katika Mukibi's Educational Institute for the Sons of African Gentlemen wanaenda nyumbani kwa likizo fupi. Hata hivyo. Musa na King Kong wana mpango tofauti. Wanaamua kuitumia fursa hiyo kujifurahisha mjini Tororo.

Wakiwa mjini Tororo. wanakutana na Finito anayewashawishi washiriki katika 'hafla' yake ya uponyaji (kwa malipo) na wanakubali. Musa anapanda jukwaani. Anapogeuka kuutazama umati uliojaa fujo. anakabiliana ana kwa ana na naibu wa mwalimu mkuu. Bw Karanja. Baada ya kufaulu kutoroka. na hata kuwakwepa polisi, wanaapa kufanya juu chini ili kuvuka mpaka. Je, hatima yao itakuwaje?

KES 534
International delivery
Free delivery on orders over Ksh 2,000
Free click & collect
Author Barbara Kimenyi
ISBN 9780195739671
SKU2010143000756

Reviews

Leave a product review
or cancel